Sayyid Al Istighfaar

اللَّهُمَّ أَنْتَ رَبِّي لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ خَلَقْتَنِي وَأَنَا عَبْدُكَ وَأَنَا عَلَى عَهْدِكَ وَوَعْدِكَ مَا اسْتَطَعْتُ أَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّ مَا صَنَعْتُ أَبُوءُ لَكَ بِنِعْمَتِكَ عَلَيَّ وَأَبُوءُ لَكَ بِذَنْبِي فَاغْفِرْ لِي فَإِنَّهُ لَا يَغْفِرُ الذُّنُوبَ إِلَّا أَنْتَ

Ewe Allah, wewe ndiye Mola wangu, hakuna Mungu isipokuwa wewe, umeniumba, na mimi ni mja wako, na nafungamana na ahadi, kwa kadri ya uwezo wangu, najilinda kwako kutokana na shari ninazozifanya, na ninakiri juu ya neema zako kwangu na nakiri juu ya dhambi zangu, nighufirie (nisamehe), kwani hakuna awezaye kusamehe dhambi sipokuwa wewe.